Ugonjwa wa kisukari ni hali ambayo hutokea wakati sukari katika damu inapokuwa nyingi kupita kiwango cha kawaida kwa muda mrefu.Sukari hutumiwa na mwili ili kupata nishati-lishe. Ili mwili uweze kutumia sukari inayotokana na chakula huhitaji kichocheo cha insulini. Kichocheo hiki
Wednesday, 11 February 2015
Sunday, 18 January 2015
Kaa mbali na mvuta sigara
Ni kweli kwamba moshi wa sigara au tumbaku huweza kumuathiri kiafya mtu
asiyevuta sigara aliyekaa karibu na mvutaji. Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa
moshi wa sigara kwa mtu asiyevuta huweza kusababisha magonjwa ya moyo,
magonjwa ya njia ya hewa, maumivu ya macho na pua, kuumwa kichwa
na
kichefuchefu. Kwa mwanamke mjamzito asiyevuta, moshi wa sigara huweza kusababisha
kuzaa mtoto mwenye uzito pungufu. Kwa
watoto moshi wa sigara huweza kusababisha magonjwa ya njia ya hewa
(kama
asthma, nimonia na kikohozi cha kudumu), magonjwa katika njia ya sikio na
maendeleo hafifu ya ukuwaji wao kimwili na kiakili.
Wednesday, 19 November 2014
Shinikizo kubwa la damu ni nini?
nguvu
ya msukumo wa damu katika mishipa inayochukua damu kutoka kwenye
moyo
kwenda kwenye viungo na tishu mwilini. Ukubwa wa shinikizo
hilo
la damu unategemea wingi na nguvu ya msukumo wa damu
kutoka
kwenye moyo na ukubwa wa mishipa inayopeleka damu
mwilini.
Katika vituo vya tiba kifaa maalum hutumika kupima
shinikizo
la damu na kiwango kinachochukuliwa kuwa
cha
kawaida ni 120/80
mmHg au
chini yake.
Pale
kiwango
kinapokuawa
140/90mmHg
au
zaidi hali hiyo huwa ni
shinikizo
kubwa la damu, kama inavyoelezwa katika mwongozo
wa
viwango vya shinikizo la damu. Hata hivyo panaweza kuwepo
tofauti
kati ya mtu na mtu.
DALILI ZA SHINIKIZO KUBWA LA DAMU.
shinikizo
kubwa la damu. Utafahamu kama una shinikizo kubwa la damu kwa
kufanyiwa
kipimo katika kituo cha tiba. Endapo shinikizo lako la damu litakuwa
liko
kiwango
cha juu sana unaweza
ukaumwa kichwa mara kwa mara hasa
sehemu
ya kisogo, ukapata kizunguzungu, ukatokwa na damu puani, ukapata
maumivu
ya kifua, moyo kwenda kasi wakati umepumzika, ukashindwa kufanya
mazoezi
kwani utashindwa kupumua, kuyasikia mapigo ya moyo wako wakati
umepumzika
na kupata uchovu wa mara kwa mara.
Jedwali
la mwongozo wa viwango vya shinikizo la damu
Shinikizo
la damu Kiwango cha shinikizo la damu
Kiwango
cha kawaida 120/80 au chini yake
Kiashiria
cha mwanzo wa shinikizo
kubwa
la damu
Kati
ya 121/80 na 139/89
Shinikizo
kubwa la damu 140/90 au Zaidi
Kwa
bahati mbaya watu wengi huishi na tatizo hili kwa muda mrefu bila
kufahamu
kwani hakuna dalili zilizo bayana. Mara nyingi shinikizo kubwa la
damu
hutambulika pale unapokwenda kituo cha huduma ya afya kupima afya
yako
au kupata matibabu ya tatizo jingine la kiafya. Hali hii humweka mtu
katika
hatari ya kupata ugonjwa wa moyo hivyo ni muhimu kuwa na tabia ya
kupima
afya yako mara kwa mara.
Tuesday, 4 November 2014
Kwanini uhumie na msongo wa mawazo,,!!!!!!
Msongo wa mawazo ni aina ya hisia inayojitokeza ili kukabiliana
na matukio, changamoto au hali mbalimbali za kimaisha. Hisia hiyo huweza kuamshwa na matukio mbalimbali kama vile kufiwa na mtu wa
karibu, kukabiliwa na tatizo katika familia, maisha au shuleni; kuwa na kazi
nyingi kwa muda mrefu bila ya kuwa na muda wa kupumzika n.k. Hisia hizo
zinaweza kusababisha hasira, wasiwasi, woga, huzuni, kuchanganyikiwa au pia kukata tamaa. Msongo wa mawazo ukijitokeza mara kwa mara kwa muda mrefu huweza kusababisha matatizo ya kiafya.
Athari za msongo wa mawazo.
Msongo wa mawazo huweza
Monday, 3 November 2014
Zifahamu athari za uvutaji wa sigara
Kaa mbali na mvuta sigara
mtu
asiyevuta sigara aliyekaa karibu na mvutaji. Tafiti mbalimbali
zinaonesha
kuwa
moshi wa sigara kwa mtu asiyevuta huweza kusababisha magonjwa ya
moyo,
magonjwa ya njia ya hewa, maumivu ya macho na pua, kuumwa kichwa
kusababisha
kuzaa mtoto mwenye uzito pungufu.
Kwa
watoto moshi wa sigara huweza kusababisha magonjwa ya njia ya hewa
(kama
asthma, nimonia na kikohozi cha kudumu), magonjwa katika njia ya
sikio
na
maendeleo hafifu ya ukuwaji wao kimwili na kiakili.
Athari za sigara kwa mama mjamzito
Mwanamke
mjamzito akivuta sigara au akitumia tumbaku mtoto
kuweza
kusababisha yafuatayo:
•
Mtoto kuzaliwa na uzito
pungufu na umbile dogo;
•
Mtoto kuzaliwa kabla ya siku
zake yaani njiti;
•
Mtoto kudumaa;
•
Mtoto kuwa taahira; na
•
Mtoto huweza kufariki ghafla
katika mwaka wa kwanza wa maisha
yake.
Sunday, 12 October 2014
Pombe mbaya jamani, ebu muoni huyu.
Kama
hunywi pombe unayo sababu ya kufurahi sana,
na kamwe usianze kunywa pombe. Kama
unakunywa
pombe, punguza sana na ukiweza acha kabisa.
Hii
ni kwa sababu tafiti zinaendelea kuthibitisha kwamba pombe
ina madhara mengi kiafya, ikiwa ni pamoja na kusababisha
magonjwa, kupunguza uwezekano wa ini kufanya kazi
vizuri na pia huathiri uwekaji wa akiba za virutubishi mwilini.
Imethibitishwa
kwamba pombe inaongeza sana uwezekano wa kupata
saratani hasa ya kinywa, koo, koromeo, matiti, utumbo mkubwa na ini.
Pombe
husababisha ongezeko la uzito wa mwili. Unene pia huongeza uwezekano wa
kupata aina nyingi za saratani na magonjwa mengine sugu yasiyoambukizwa,ikiwemo
kisukari, ugonjwa wa moyo, shinikizo kubwa la damu na kiharusi.
Athari za sigara
Uvutaji
wa sigara, utumiaji wa tumbaku na bidhaazake
huongeza uwezekano wa kupata ugonjwa wa moyo, saratani,
(hasa
za mapafu, kinywa na koo), magonjwa sugu mengine ya njia
ya hewa, shinikizo kubwa la damu na vidonda vya tumbo.
Sumu
iliyopo katika sigara (nicotine), huharibu ngozi ya ndani
inavyotakiwa.
Sigara pia huongeza kiasi cha chembechembe haribifu
Nicotine huweza pia kusababisha
mishipa ya damu kuziba au kuwa
myembamba kuliko kawaida na hivyo kuzuia damu kupita
(free
radicals) mwilini. Matumizi ya sigara pia huweza kuleta athari kwa wale
walio
karibu na mvutaji.
Ili
kuzuia matatizo haya ni muhimu kuepuka kuvuta sigara na matumizi ya
tumbaku
na bidhaa zake.
Subscribe to:
Posts (Atom)